Naweza Show

By Naweza Show
Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi!Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza.Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni| Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni| Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usikuKipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)

Listen on


Latest episode