SBS Swahili - SBS Swahili
By SBS
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Latest episode
-
Taarifa ya Habari 20 Februari 2025
Mkuu wa shirika la usalama wa ndani nchini Australia ana onya, kuna ongezeko la wimbi la watoto wanao lengwa kutumia maudhui ya itikadi kali mtandaoni, na ame ongezea kuwa makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yana nafasi kubwa yaku zuia shughuli hi… -
Jinsi ya kukabiliana na unyanyasaji shuleni au mtandaoni
Kutoa mazingira salama na jumuishi ni dhamira ya msingi ya kila jumuiya ya shule ya Australia. Ila wazazi wanastahili fanya nini mtoto wao anapo nyanyaswa shuleni? -
Taarifa ya Habari 18 Februari 2025
Onyo limetolewa kuhusu matokeo ya kura ambayo matokeo hayo ya karibu huenda yasi mulike kura zawa Australia. -
Uchomaji wakitamaduni: kutumia moto kulinda dhidi ya moto na kufufua Nchi
Kuishi katika mazingira yenye moto kama Australia, wengi wetu hupata ugumu waku ona moto kama kitu kingine zaidi yakuwa tisho. -
Taarifa ya Habari 17 Februari 2025
Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi. -
Taarifa ya Habari 13 Februari 2025
Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel. -
Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume
Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma. -
Taarifa ya Habari 11 Februari 2025
Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia. -
Jinsi ya kuandaa ombi la kazi
Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu. -
Taarifa ya Habari 10 Februari 2025
Hesabu zina endelea katika chaguzi dogo katika eneo bunge la Werribee ambalo liliwahi kuwa ngome ya chama cha Labor katika vitongoji vya magharibi ya mji wa Melbourne.